Habari

Xclusive:Happy Birthday Gazuko Junior.

Leo,tarehe 28/03/2015 ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa rapper wa gospo anayetamba na ngoma yake ya Yesu ni Bwana,Gazuko junior akiwa anatimiza miaka 24.
Hiki ndicho alichokiandika Gazuko katika ukarasa wake wa FB kusherekea siku yake ya kuzaliwa.bday gazuko
GospoMuziki.Com inakutakia Heri ya siku ya kuzaliwa Bwana Amosi Gazuko.

Advertisements
Previous post

Gospo Audio Song: Rosine Swai Ft. Gazuko - Unasubiri Nini.

Next post

OnStage:Rungu la Yesu Akipafomu "Naanza Safari" kijiji cha Tutuo,Tabora.