Uncategorized

Xclusive: Kutana na Richard Mmari na Christina Seme,Wanandoa Wanaoimba Pamoja.

Shalom ,Leo kupitia Gospo Tv tumekuwekea mahojiano maalum ya waimbaji wa Injili Richard Mmari na Christina Seme,Wana ndoa ambao kwa umoja wanamtumikia Mungu kwa njia mbalimbali mojawapo ikiwa ni uimbaji.

Mpaka sasa Wana Ndoa hao wametoa wimbo mmoja ambao ameimba Christina Seme ambaye ni mke kwa Richard Mmari unaitwa Bado Haujachelewa.

Kujua zaidi kuhusina na wana ndoa hawa tazama video ya mahojiano yao hapo juu,Pia unaweza kutazama video ya wimbo wao hapo chini.


Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia.

Advertisements
Previous post

Habari Picha za Mkesha wa Revival Celebration Karatu. 17.02.2017. Hizi Hapa.

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Joseph Joel - Hata Hilo Litapita