Habari

xclusive: Hivi ndivyo waimbaji wa Gospo walivyomlilia mwimbaji mwenzao aliyefariki jana.

Taarifa zilizotufikia kuhusiana na mazishi ya mwimbaji wa Gospo Magreth Kyondo (Mainda/MRS.Mkama) kutoka katika kundi la unity family kama zilivyotolewa na Angel Paul,mwimbaji mwenza wa marehemu kuwa marehemu atazikwa siku ya jumamosi tarehe 28 march katika makabuli ya Saku Mbagala,Dar es salaam.
Pia katika Mitando ya kijamii waimbaji wenzake na watu waliokuwa wakimfahamu marehemu wameandika masikitiko yao kutokana na kifo cha mwimbaji huyo.dp

fatii

gazz

makondeko

jozee

Advertisements
Previous post

Newz: Msanii wa Gospo kutambulisha Video yake mpya FNL,EATV Kesho.

Next post

EVENT: PASAKA GOSPEL HIPHOP CONCERT ARUSHA CITY. TAR.6/04/2015