Connect with us

Audio: Xano – My Praise

Muziki

Audio: Xano – My Praise

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo mzuri wa sifa unaokwenda kwa jina la My Praise kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Xano.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu wenye habari njema na hakika utakubariki, Amen.

 

Social Media:
Facebook: Xano
Instagram: @xano_beats
Twitter: @Xanobeats

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

TRENDING

Jiunge Nasi

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea updates za kiinjili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 16,107 other subscribers

To Top