Audio

Audio: Willy Reche – Your Name

Kutoka jijini Abuja nchini Nigeria leo nimekuletea wimbo utakaokubariki uitwao “Your Name” kutoka kwa mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini humo anayefahamika kwa jina la Willy Reche, muziki huu umetyaarishwa ndani ya studio za EM-Jay Records zilizopo nchini Nigeria.

“Your Name” ni wimbo wenye nguvu ya ibada unaotuelekeza kumtumikia Mungu katika moyo safi kwakuwa yeye ni ALPHA na OMEGA, huu ni wimbo utakaokuongoza kwenye ibada ambayo itakuwezesha kumkaribia Mungu katika kiwango cha utakatifu.” –  Alisema Willy Reche.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakubariki sana, Ameen.

 

Download Audio

Social Media
Instagram: @willyreche
Twittter: @rechewilliams

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Machalii Wa Yesu - Ndoa

Next post

Audio: Waba Shadra - Simama Imara