Audio

Audio: Warren Henrick – Salama Rohoni

Baada ya kufanya vizuri Mwezi machi 2018 kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Warren Henrick ameachia wimbo wake mpya uitwao Salama Rohoni, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Western Records chini ya mikono ya prodyuza Simon Mtaha.

“Wimbo huu nimeuandika na kuimba kwa ajili yako wewe kukufahamisha ya kuwa Yesu akiwa ndani yako basi maisha yako yatakuwa Salama, Hata upitapo katika magumu mbalimbali ukiwa na Yesu Moyoni amini ya kuwa ni Salama Rohoni mwako kabisa, hivyo mpokee Yesu leo, mwamini sana yeye kwani kwake kuna Salama, ubarikiwe sana. ” – alisema Warren Henrick

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa moyo wako utakuwa Salama kila wakati utakapokua unasikiliza wimbo huu, Barikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Warren Henrick kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 622 864 292
Facebook: Warren Henrick
Instagram: @warren_henrick
Youtube: Warren Henrick

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Eunice Njeri - Nguruma

Next post

Video | Audio: Meshack Kapula Feat. Mutente Jo - Jana Historia