Video | Audio: Walter Chilambo - Unaniona - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Walter Chilambo – Unaniona

Audio

Video | Audio: Walter Chilambo – Unaniona

Baada ya kuachia video ya Only You na kuendelea kufanya vizuri kwa mara nyingine tena mwimbaji Walter Chilambo ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Unaniona.

Video hii imeongozwa na Director Bakari Ousman na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Perfect Light.

“Wengi hufanya dhambi na kujificha mbele ya macho ya kibinadamu, lakini Yesu anawajua, wimbo huu utakufundisha na kuwakumbusha kwamba, chochote unachofanya Yesu hukuona.” – Walter Chilambo alisema.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii ambayo ni hakika kuwa itakubariki na kuweka jambo jipya ndani yako, Ameen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Walter Chilambo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 069 509
Facebook: Walter Chilambo
Instagram: @walterchilambotz

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top