Connect with us

Video: Vince Joyn – Sifa Zako

Muziki

Video: Vince Joyn – Sifa Zako

Kutoka jijini Des Moines nchini Marekani kwa mara ya nyingine tena tunaitambulisha kwako video ya wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Sifa Zako kutoka kwa mtumishi wa Mungu kwa njia ya uimbaji anayefahamika kwa jina la Vince Joyn, Video hii ikiwa imeongozwa na director Ab Nabil.

“Wimbo huu ni shukrani maalum kwa Mungu kwa yote aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya katika maisha yetu. Natumaini kwamba wimbo huu utakwenda kumuimarisha kila mmoja na kumsaidia kumkaribia Mungu.
Asante kwa kutazama! Kusikiliza na kutoa maoni yako, Jiunge na channel yangu ya YouTube ili uweze kushiriki baraka hizi pamoja nami ubarikiwe!” – alisema Vince

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itagusa na kukubariki kwa namna ya kipekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Vince Joyn kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (515) 779-4410
Facebook: Vince Joyn
Instagram: @vincejoyn
Twitter: @vincejoyn
Youtube: Vince Joyn

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top