Connect with us

Video: Vince Joyn – Mwaminifu

Vince Joyn - Mwaminifu

Muziki

Video: Vince Joyn – Mwaminifu

Vince Joyn - Mwaminifu

Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Marekani Vince Joyn kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Mwaminifu.

Video hii imeongozwa na director Makaveli, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Johntez.

“Wimbo huu ukupe ujasiri mpya katika jina lake Yesu Kristo, Pamoja na shida tunazopitia, tukumbuke kwamba Mungu atabaki kuwa Mungu na ni mwaminifu siku zote, Amen.” – Vince Joyn – Mwaminifu

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itagusa na kukubariki kwa namna ya kipekee sana, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Vince Joyn kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (515) 779-4410
Facebook: Vince Joyn
Instagram: @vincejoyn
Twitter: @vincejoyn
Youtube: Vince Joyn

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top