BurudaniHabari

VIDEO:Mwimbaji Betty Barongo Kuzindua album yake February 26 Ndani ya Makambako,Fahamu Zaidi

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Betty Barongo kutokea mkoani Iringa yuko mbioni kuzindua album yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la Ni Wewe itayofanyika katika kanisa la EAGT Yeriko Makambako  kuanzia saa nane mchana na kuendele ,hakuna Kiingilio.

Kujua zaidi Tazama mahojiano ya Betty Barongo na Gospo TV.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Music Audio: Alicia Charles-Mimi Ni Wako

Next post

Video: Mfahamu Mwimbaji Mathias Walichupa na Huduma Yake Ya Muziki wa Injili