Habari

Video:Angel Benard Akizungumzia Mipango ya 2017,kwenda na mwanae kwenye huduma na Mengineyo

Kwa mara ya kwanza kwa mwaka 2017 ,Gospo Tv ilikutana na mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili Tanzania Angel Benard katika tamasha la Holy of Hollies lililoandaliwa na jumuiya wa wanafunzi waliokooka wa chuo kikuu cha Dar es Salam ,USCF lililofanyika katika kanisa la CCC Upanga.

Gospo Tv iliweza kuongea na Angel benard kuhusu alivyohudumu kwenye tamasha hilo,mipango yake ya mwaka 2017 na  jinsi anavyomlea mwanae ambaye alimbeba kwenye kwenye tamasha hilo ambalo lolifanyika usiku.

Kujua zaidi Tazama video ya mahojiano hapo juu.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia.

Advertisements
Generation of Praise
Previous post

Onstage: Generation of Praise Walivyoimba Live kwenye Tamasha la Jeans & T-Shirt la Mwezi wa pili.

Next post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Joseph Joel - Hata Hilo Linapita