Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Vaileth Daniel – Cha Kutumaini Sina

Video

Video: Vaileth Daniel – Cha Kutumaini Sina

Video: Vaileth Daniel - Cha Kutumaini Sina

Kutoka jijini Arusha kwa mara nyingine tena leo tumeisogeza kwako video mpya ya wimbo unaoitwa Cha Kutumaini Sina kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Vaileth Daniel.

Cha Kutumaini Sina ni wimbo unaobeba jina la albam yake ya kwanza iliyo katika mfumo wa DVD ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo Saba zilizojaa jumbe zenye mguso na upako wa pekee.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na tunaamini kuwa itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Vaileth Daniel kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 767 212 129 au  +255 620 787 895
Facebook: Vaileth Daniel
Instagram: @vailethdaniel
Youtube: vaileth Daniel
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,792 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top