Connect with us

Video: Tazama Full Perfomance Ya Muimbaji Miriam Jackson Ndani Ya Eloi Center Kigamboni.

Uncategorized

Video: Tazama Full Perfomance Ya Muimbaji Miriam Jackson Ndani Ya Eloi Center Kigamboni.

Shalom, karibu kwenye kipengele cha Onstage kupitia Gospo Tv ambapo unapata fursa ya kuwashuhudia waimbaji wa Gospo wakihudumu kwenye madhabahu na majukwaa mbalimbali.
Leo katika Onstage tumekuwekea video ya mwimbaji mahiri wa muziki wa Injili Miriam Jackson akiwa anahudumu katika moja ya matamasha yaliyofanyika katika kanisa la ELOI CENTRE katika uzinduzi wa Album ya Mungu wa Ajabu kutoka kwa muimbaji Ritha Komba.

Kwa mialiko na mawasiliano zaidi na mwimbaji Miriam Jackson wasilian naye kupitia WhatsApp +255 784 323 036, pia anapatikana kwenye mtandao ya kijamii kama vile facebook: Miriam Jackson Instagram: @miriamjackson. Barikiwa sana!!

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

More in Uncategorized

To Top