Connect with us

Video: Sarah Ndosi – Winner

Sarah Ndosi - Winner

Muziki

Video: Sarah Ndosi – Winner

Sarah Ndosi - Winner

Baada ya kuachia video ya wimbo uitwao Unaweza mwezi Machi 2019 kwa mara nyingine tena mwimbaji Sarah Ndosi amekuja kivingine kwa kuachia video mpya ya wimbo uitwao Winner.

Video hii imeongozwa na director Nezar, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Nelly Music.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni imani yetu kuwa itakubariki kwa namna ya kipekee kwasababu wewe ni #Winner!!

Kwa mawasiliano zaidi na huduma na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Sarah Ndosi kupitia
Simu/WhatsApp: +255 656 521 114
Facebook: Sarah Ndosi
Instagram: @sarandosi
Youtube: Sarah Ndosi
Website: www.sashi.co.tz⁠⁠⁠⁠

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TRENDING

To Top