Connect with us

Video: Rodgers Mathew – Taraja

Rodgers Mathew - Taraja

Muziki

Video: Rodgers Mathew – Taraja

Rodgers Mathew - Taraja

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019  tumekusogezea video ya wimbo uitwao Taraja kutoka kwa mwimbaji Rodgers Mathew.

“TARAJA ni wimbo ambao unaelezea namna ambavyo mtu wa kawaida kabisa anavyoweza kukutana na Yesu na kufanyika kuwa mtu mpya, Huu ni wimbo unaorejesha tumaini jipya kwa walio mbali na Kristo na wote wanaodhani Mungu hawezi kuwapenda tena” – alisema Rodgers

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa kwa jina la Yesu, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana Rodgers Mathew kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 717 903 681
Facebook: Rodgers Mathew
Instagram: @rodgersmathew
YouTube: Rodgers Mathew

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top