Connect with us

Video: Pinty Melody – Wakati

Pinty Melody - Wakati

Muziki

Video: Pinty Melody – Wakati

Pinty Melody - Wakati

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Pinty Melody na hii ni video yake mpya inayoitwa Wakati.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Pinty Melody kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 766 723 499
Facebook: Pinty.tz
Instagram: @pintymellody.tz
Youtube: pinty Mellody Tz

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top