Uncategorized

Video: Mwimbaji Simon Rweikiza Akielezea harakati zake za Muziki Baada Ya GSS na Album Yake Mpya

Simon Rweikiza ni miongoni mwa waimbaji wanaokuja kwa kasi hasa ndani ya jiji la Arusha na Kanda ya Kaskazini.Umahiri wa mwimbaji huyu ulianza kuonekana zaidi baada ya kushiriki mashindano ya Gospel Star Search kanda ya kaskazini na kuibuka kuwa mshindi wa sita.Hivi karibuni Simon ameweza kufanya uzinduzi wa album yake inayoitwa Naitwa Mbarikiwa.Hapa tumekuwekea Mahojiano mafupi na mwimbaji huyu akielezea zaidi harakati zake za Muziki.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

 

Advertisements
Previous post

Onstage:Joel Lwaga akiimba Sitaki Nilivyo Live kanisani T.A.G Ilala,Usiku Wa My Song Project

Next post

Onstage: Mwimbaji Joseph Mabula akiimba wimbo wake wa Chuki ya Nini ktk kanisa la ELOI,Kigamboni.