BurudaniHabari

Video: Mwimbaji Ritha Komba alivyojipanga kuzindua Album yake Desemba 18,Eloi Center Kigamboni

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Ritha Komba anatarajia kuzindua album yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la Mungu wa Ajabu tarehe 18 Desemba katika kanisa la Eloi liliolpo Kigamboni kuanzia saa nane kamili mchana.

Katika uzinduzi huo Ritha Komba atasindikizwa na waimbaji kama Miriam Jackson, Beatrice Mwaipaja, Jessica Honore BM, Frida Felix, Yerusalem Choir na wengine wengi.

Akiongea na GospoMedia, Ritha Komba amesema kwamba dhumuni kubwa la kuzindua album hiyo ni kuiweka wakfu mbele za Mungu lakini pia kuitambulisha huduma yake ya uimbaji rasmi.

Unaweza kutazama mahojiano ya Ritha Komba kwenye kipindi cha The Gospo Updates hapo juu.

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Ritha Komba kupitia
Simu/WhatsApp: +255712 496 727
Facebook: Ritha Komba
Instagram: @rithakomba Email: rithakomba@yahoo.com au synyoritha@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Music Video: Moses Simkoko Ft. Hondwa Mathias - Kesho Yako

Next post

Download Music Audio: B Zablon Senior-Bado Bado