Advertisements
Connect with us

Video Music | Audio Music: Youth SWAG Band – S.W.A.G

Audio

Video Music | Audio Music: Youth SWAG Band – S.W.A.G

Bwana Yesu asifiwe mwana wa Mungu! leo kupitia mtandao wako  bora wa habari za kikristo na burudani nimekuletea wimbo mpya uitwao SWAG kutoka kwa bendi mpya ya waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania inayofahamika kwa jina la SWAG, video hii imeongozwa na director Gibson Mhando kutoka Kitunda Studios na wimbo ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Daniel.

Neno SWAG ni kifupi cha maneno manne ambayo ni S – SERVE(kutumikia), W- WORSHIP (kuabudu), A – ADORE(kusifu), G – GLORIFY (kutukuza), jina hili ndio lililobeba jina la Bendi yao mpya ikiwa na mkusanyiko wa vijana sita ambao akiwemo King Melody, Asafu, Consolata, Juliana Mathias na Gibson Mhando na huu ndio wimbo wao wa kwanza kuachia kwa mwaka huu, ukiwa ni wimbo wa sifa na mbele za Mungu.

Akiongea na gospomedia.com kiongozi wa Bendi hii Juliana Mathias amesema kuwa ujio wa bendi hii ya muziki wa Injili nchini Tanzania ni kwa lengo la kumtumikia Mungu na kutangaza Injili hasa kwa vijana ambao hawana uhusiano mzruri na Mungu hivyo kupitia huduma yako wataweza kuwahamasisha na kuwarudisha kwa Yesu Kristo ili wapate kutakasawa upya na kuwa wana watakatifu mbele za Mungu.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kuitazama video hii na kupakua wimbo huu ambao kwa hakika utakubariki sana! Karibu ubarikiwe!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Bendi ya Youth SWAG kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 658 969 656, +255 686 513 938, +255 652 797 960
Facebook: Youth Swag
Instagram: @youthswagtz

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP TRENDING

Shad B - Mbalii

Audio

Audio: Shad-B – Mbalii

By April 24, 2019

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,282 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top