Connect with us

Video Music | Audio Music: Paul Clement – Namba Moja

Muziki

Video Music | Audio Music: Paul Clement – Namba Moja

Bwana Yesu mwana wa Mungu! leo kutoka jijini Dar es salaam Tanzania, nimekusogezea video nyingine kubwa iitwayo Namba Moja kutoka kwa mwimbaji aliyebarikiwa kipawa kikubwa cha sauti na huyu si mwingine bali ni Paul Clement, video ya wimbo huu imeongozwa na director mahiri wa video anayefahamika kwa jina la Einxer na muziki ukiwa umefanyika ndani ya studio za Fisher Records zilizopo jijini Dar es salaam.

Namba Moja ni moja kati ya nyimbo zenye nguvu ya baraka unaopatikana kwenye album yake iitwayo Amani ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo kumi na nne ambayo kwasasa ipo sokoni.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kuitazama video hii nzuri na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakuwa ni wa kukubariki sana siku ya leo na utakiri kuwa Yesu ni namba moja. Karibu ubarikiwe!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko wasiliana na mwimbaji Paul Clement kupitia
Simu/WhatsApp: +255 625 661 862 au +255 719 367 002
Facebook: Paul Clement
Instagram: @paulclement
YouTube: Paul Clement
Email: fisherrecordstz@gmail.com

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top