Connect with us

Video Music | Audio Music: Flora Mwenda – Amefanya Yesu

Video

Video Music | Audio Music: Flora Mwenda – Amefanya Yesu

Kutoka Dar es salaam, leo nimekuwekea video iitwayo Amefanya Yesu kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Flora Mwenda, video hii imeongozwa na Dr.Kim Dag na muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Enock Jonas.

Amefanya Yesu ni moja ya wimbo unaopatikana kwenye albamu yake ya pili inayofahamika kwa jina la ”Kwanini Mimi” ikiwa ina mkusanyiko wa nyimbo mbambali zenye baraka na zenye kuinua nafsi yako na kumtegemea Mungu.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii ambayo kwa hakika itakwenda kuwa baraka katika maish yako siku ya leo. Karibu ubarikiwe!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Flora Mwenda kupitia:
Simu/WhatsApp:
Facebook: Flora Mwenda
Instagram: @floramwenda
YouTube: FloraMwenda

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

More in Video

To Top