Connect with us

Video | Audio: Miriam Lukindo Mauki – Hakuna wa Kubadili

Muziki

Video | Audio: Miriam Lukindo Mauki – Hakuna wa Kubadili

Kutoka jijini Dar es Salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video mpya kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayejulikana  kwa jina la Miriam Lukindo Mauki video ya wimbo huu inaitwa Hakuna wa Kubadili ikiwa imeongozwa na director Einxer kutoka studio za Mr.Maxum.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho na mwili kupitia wimbo huu wa Hakuna wa kubadili kutoka kwa muimbaji Miriam Lukindo Mauki na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Miriam lukindo Mauki kupitia
Simu/WhatsApp: +255 715 252 523
Facebook: Miriam Lukindo Mauki,
Instagram: miriamlukindowamauki
YouTube: Miriam Lukindo

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top