Connect with us

Video: Mic Paul – Tofauti

Video

Video: Mic Paul – Tofauti

Kutoka kwenye albamu yake iitwayo Nalitangaza Neno kwa mara ya kwanza tuitambulisha kwako video mpya inayokwenda kwa jina la Tofauti kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Mic Paul.

Video hii imeongozwa na director Debro kutoka Eagle View Pro, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za African Tulag Music chini ya mikono ya prodyuza PG.

“Bwana Yesu pamoja na Roho Mtakatifu ametutaka watoto wa Mungu tuishi kwa kumtazama Bwana Yesu, tuyafate yale aliyotuagiza, tusifatishe jinsi Dunia inavyo taka.. Hivyo nawakumbusha ndugu zangu tunaweza kufanana na Yesu kwa kulishika na kuliishi neno lake tusipokubaliana katika hilo basi ujue Mimi na Wewe tupo TOFAUTI na ukitaka tufanane njoo tu mg’ang’anie Bwana Yesu..” – alisema Mic Paul

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Mic Paul kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 058 005
Facebook: Mic Paul
Instagram: @micpaul
Youtube: MIC PAUL

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top