VIDEO: LOWASSA ADAI TB JOSHUA ALISUSIA KUAPISHWA KWA MAGUFULI.. - Gospo Media
Connect with us

VIDEO: LOWASSA ADAI TB JOSHUA ALISUSIA KUAPISHWA KWA MAGUFULI..

Habari

VIDEO: LOWASSA ADAI TB JOSHUA ALISUSIA KUAPISHWA KWA MAGUFULI..

Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kwa mwaka 2015 , Edward Lowassa ameweka wazi baadhi ya mambo aliyoyazungumza na Mchungaji mashughuli nchini Nigeria na Afrika Nabii T.B Joshua mara alipokuja kutembelea Tanzania kwa mara ya kwanza.

Lowassa ameweka wazi kuwa Mchungaji huyo alikuja baada ya kuombwa na upande wa chama tawala aje kumshawishi yeye akubali matokeo ya uchaguzi mkuu wa urais ambayo yeye alidai hayatambui na kuhudhuria kuapishwa kwa Rais magufuli baada ya kutangazwa mshindi.

Pia waziri mkuu huyo wa zamani amesema kuwa baada ya yeye kumweleza T.B Joshua hali halisi Mchungaji huyo wa kanisa la SCOAN alibadilisha adhma yake ikiwemo kurudisha hoteli na magari ambayo serikali iliandaa kwa ajili yake kwa kipindi atachokuwepo nchini na kuamua kujitengemea, Msikilize Lowassa akiongea.

Video kwa hisani ya AyoTV na MillardAyo.Com

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA

More in Habari

To Top