Habari

Video: Kutana Na Odesia Shusho,Mtoto Wa Kwanza Wa Christina Shusho Mwenye Ndoto Kama za Mama Yake.

Mara kadhaa tumekuwa tukifanya mahojiano na mwimbaji Christina Shusho kuhusu huduma yake ya Uimbaji lakini Leo tumeenda mbali zaidi hadi kwenye familia ya mwimbaji huyu nguli hapa nchini na Afrika Mashariki kwa kumhoji binti yake wa Kwanza anayefahamika kwa Jina la Odesia Shusho.Katika mahojiano haya tumeweza kuzungumza na Odesia Shusho kuhusu malengo yake na mambo mbalimbali yanayomhusu yeye na mama yake. Bonyeza Video kuangalia mahojiano.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video: Hondwa Mathias Awataka Waimba Wa Gospo Wajipende Kwenye Mavazi

Next post

Onstage: Mwimbaji Joseph Mabula akiimba wimbo wake wa Chuki ya Nini ktk kanisa la ELOI,Kigamboni.