Connect with us

Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Zaidi Mwezi March 2017, Hizi Hapa.

Muziki

Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Zaidi Mwezi March 2017, Hizi Hapa.

Kupitia tovuti ya GospoMedia.com hizi ni video kumi Bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi March 2017, video hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati ya kumi bora ya gospomedia.com kwa kigezo cha ubora wa video zenyewe na kupitia watu wote walioweza kuzitazama video hizi mara baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya gospomedia.com na kupitia channel zao za Youtube.

Video hizi kumi zimefanikiwa kupata nafasi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za Gospo (Gospo Awards) zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia 2018.

1.Mr Seed & Bahati – Kumbe Kumbe

DOWNLOAD

2. Shadrack Robert Feat Angel Benard-Mungu Nilinde

DOWNLOAD

3. PeaceKing David Feat Christina Shusho-Chibuikem

DOWNLOAD

4. Giveness Ngao-Nimeutoa Moyo

DOWNLOAD

5. Prince Amos-Kisha Nikaona

DOWNLOAD

6. Happy Kweyamba – Our Father

DOWNLOAD

7. Augustino Mhina-Pokea Sifa

DOWNLOAD

8. Mc Freddie Feat Mr.Mike-Wakusamehe

DOWNLOAD

9. Pastor Eric Hance Mtalemwa-Nauona Muujiza

DOWNLOAD

10. Sauti Ya Ushuhuda (SYU)-Wale Wale

DOWNLOAD

Uongozi na timu kazi ya GospoMedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao video zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi March 2017, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote waliowezesha video za waimbaji hawa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora… Barikiwa sana.!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top