Connect with us

Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Februari 2017. Hizi Hapa.

Muziki

Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Februari 2017. Hizi Hapa.

Kupitia tovuti ya GospoMedia.com hizi ni video kumi Bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi Februari 2017, video hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati ya kumi bora ya gospomedia.com kwa kigezo cha ubora wa video zenyewe na kupitia watu wote walioweza kuzitazama video hizi mara baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya gospomedia.com na kupitia channel zao za Youtube.

Video hizi kumi zimefanikiwa kupata nafasi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za Gospo (Gospo Awards) zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia 2018.

1.Neema Mudosa Feat Goodluck Gozbert-Washangaze

DOWNLOAD

2. Joseph Joel – Hata Hilo Litapita

DOWNLOAD

3. Fay Destiny Feat Shirlena Hucks a.k.a Malaika – Hold On / Subiri

Download

4. Bahati Simwiche – Jina La Yesu Kwetu Dawa

DOWNLOAD

5. Janet Otieno-Bisha

Download

6. EllyJoh Feat Cassian-Upendo

Download Mp3

7. Kelele Takatifu – Aina Noma

Download Mp3

8. Henry Sanga – Sijamwona

DOWNLOAD

9. Emmanuel Mwasasumbe – Waleti ya Yesu

Download

10. Joel Lwaga-Amenifanyia Amani(Music Cover)

Download

Uongozi na timu kazi ya GospoMedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao video zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi Februari 2017, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote waliowezesha video za waimbaji hawa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora… Barikiwa sana.!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top