Connect with us

Video Kumi Bora Ziliofanya Vizuri Mwezi April 2017. Hizi Hapa.

Muziki

Video Kumi Bora Ziliofanya Vizuri Mwezi April 2017. Hizi Hapa.

Kupitia tovuti ya GospoMedia.com hizi ni video kumi Bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi April 2017, video hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati ya kumi bora ya gospomedia.com kwa kigezo cha ubora wa video zenyewe na kupitia watu wote walioweza kuzitazama video hizi mara baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya gospomedia.com na kupitia channel zao za Youtube.

Video hizi kumi zimefanikiwa kupata nafasi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za Gospo (Gospo Awards) zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia 2018.

1. Lukindo Mauki – Hakuna wa Kubadili

Download Audio

2. Joel Lwaga – Sitabaki Nilivyo

Download Audio

3. Rehema Lupilya-Ni wewe

Download Audio

4. Amani Kiwale Feat Naomi Kaduma-Namfurahia Mungu

Download Audio

5. Eunice Njeri – Wanishangaza

Download Audio

6. Jimkery Tuesday-Uweponi Mwako

Download Audio

7. Henry Sanga Feat Christina Shusho – Nipeni Muda

Download Audio

8. Pitson – Nisaidie

Download Audio

9. Jimmy Gospian – Utusamehe

Download Audio

10. Sayuni Mrita-Nampenda

Download Audio

Uongozi na timu kazi ya GospoMedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao video zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi April 2017, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote waliowezesha video za waimbaji hawa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora… Barikiwa.!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia

TRENDING

To Top