Connect with us

Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Novemba 2017

Muziki

Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Novemba 2017

Mwezi Novemba 2017 umekuwa ni wa baraka sana kupitia video za waimbaji mbalimbali wa nyimbo za Injili kutoka ndani na nje ya mipaka ya Tanzania na leo hii tumekusogezea orodha ya video kumi bora ambazo zimefanya vyema sana mwezi novemba kupitia channel zao za YouTube.

1. Paul Clement – Namba Moja

2. Kambua – Mwaminifu

3. Ruth Matete – Eloi Eloi

4. Walter Chilambo – Kuna Jambo

5. Mr.Kamily – Yesu Ananipenda

6. Godwill Babette – Egemeo (Moyo Wangu)

7. Imani Zacharia – U Sababu

8. Benachi – Hallelujah

9. Emily Nakhungu – Umetenda

10. Neema K – Wewe ni Mungu

Uongozi na timu nzima ya idara ya muziki wa Injili ya gospomedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao video zao zimefanya vyema zaidi mbali na ubora pia kwa kugusa na kubadilisha maisha ya watu wengi katika kulitangaza neno la Mungu. Barikiwa!

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top