Video: Kidum - Nipe Nguvu - Gospo Media
Connect with us

Video: Kidum – Nipe Nguvu

Video

Video: Kidum – Nipe Nguvu

Kutoka nchini Burundi leo tumekusogezea video ya wimbo mmoja mzuri sana uitwao Nipe Nguvu kutoka kwa mwanamuziki mkongwe Afrika Mashariki na dunia kwa ujumla maarufu kama Kidum.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki na kukuinua kila wakati, Ameen.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top