Connect with us

Video: Keam Kym – Bure

Keam Kym - Bure

Muziki

Video: Keam Kym – Bure

Keam Kym - Bure

Kutoka nchini Kenya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Bure kutoka kwa mwimbaji Keam Kym.

Video hii imeongozwa na director Lerinto na muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Hawane Media chini ya mikono ya prodyuza NanaBreakItDown.

“The song was inspired by the famous statement used by people, ” The best things in life are free” God gives us breath, life and favour everyday for free without expecting anything in return. I hope this song inspires a soul out there.” – Keam

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo tunaamini kuwa itakubariki, Amen.

Social Media:
Facebook: Keam Kym
Instagram: @keamkym
Twitter: @keamkym
YouTube: KEAM KYM

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top