Video: Immy Benny - Haijalishi - Gospo Media
Connect with us

Video: Immy Benny – Haijalishi

Video

Video: Immy Benny – Haijalishi

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tumekusogezea video nzuri inayokwenda kwa jina la Haijalishi kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Immy Benny.

“Wimbo huu unahusu Ukuu wa Mungu, atatenda kwa wakati, Mungu hajakuumba bahati mbaya.” – alisema Immy

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki na kukuinua katika viwango vingine kila wakati utakapokuwa unasikiliza pia wimbo huu, Ameen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Immy Benny kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 615 344
Facebook: Immy Benny
Instagram: @immybenny
Youtube: Immy Benny

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top