Habari

Video: Ikupa Mwambenja Akielezea Mapokezi ya Video Yake na Mipango yake ya Baadae

Ikupa Mwambenja ni moja ya waimbaji chipukizi wa Gospo wanaokuja vizuri ,miezi michache iliyopita aliweza kutoa video yake ya kwanza rasmi.Gospo Tv imekutana na Ikupa Mwambenja kujua mambo kadha wa kadha ikiwemo mapokezi ya video yake mpya na mipango yake mingine.Tazama video ya mahojiano kujua zaidi.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia.

 

Advertisements
Previous post

Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Januari 2017. Hizi Hapa.

Generation of Praise
Next post

Onstage: Generation of Praise Walivyoimba Live kwenye Tamasha la Jeans & T-Shirt la Mwezi wa pili.