Habari

Video: Hondwa Mathias Awataka Waimba Wa Gospo Wajipende Kwenye Mavazi

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Hondwa Mathias amewataka waimbaji wenzake kuzingatia suala la unadhifu na umaridadi katika mionekano yao ili waweze kuwa na ushuhuda mzuri kwa watu wanaowatazama.

Akiongea na Gospo Tv, Hondwa amesema yeye ni mmoja wa waimbaji wanaohakikisha kuwa mionekano yao inakuwa nadhifu wakati wote ili kulinda hadhi ya huduma yake na kuwataka waimbaji wengine kufuata nyayo zake.Bonyeza video hapo juu ili kumtazama Hondwa akiongea.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

 

 

Advertisements
Previous post

Video: Joshua Mlelwa Amefunguka Kuhusu Kundi La Kijitonyama Upendo Group,Je Limekufa?

Next post

Video: Kutana Na Odesia Shusho,Mtoto Wa Kwanza Wa Christina Shusho Mwenye Ndoto Kama za Mama Yake.