Advertisements
Connect with us

Video: Faraja Hannington – Wingu

Video

Video: Faraja Hannington – Wingu

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Wingu kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Faraja Hannington.

Video hii imeongozwa na director Albert, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Saz Records chini ya mikono ya prodyuza Sam.

“WINGU ni wimbo uliobeba nguvu ya matumaini baada ya baraka na mkono wa Mungu kuwa katikati ya maisha mtu ambaye alikuwa amekata tamaa. Tunahitaji Wingu la Mungu kukaa juu yetu ili kupata nguvu katika maisha yetu.” – Alisema Faraja

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Faraja Hannington kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 673 393 575
Facebook: Faraja Hannington
Instagram: @farajahannington
YouTube: Faraja Hannington

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP TRENDING

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,277 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top