Connect with us

Video: Faraja Hannington – Pendo

Faraja Hannington - Pendo

Muziki

Video: Faraja Hannington – Pendo

Faraja Hannington - Pendo

Kutoka jijini Dar es salaam leo tumekusogezea video mpya inayokwenda kwa jina la Pendo kutoka kwa mwimbaji Faraja Hannington.

Video hii imeongozwa na director T-ROMMYX kutoka T-ROMMY ENTERTAINMENT, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Sajo kutoka studio za 6 Records.

“Pamoja na yote tuyafanyayo, Mungu bado anatuonesha Pendo lake kwetu na katika maisha yetu kwa ujumla. Huna sababu ya kuacha kumshukuru Mungu kwa kila jambo na kuzitangaza sifa zake, kwani bila ya Pendo lake kwako usingekuwa hapo ulipo. Mungu akubariki kila unapotazama video ya wimbo huu na kutambua upendo wa Mungu maishani mwako, Amen.” – Faraja

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu ambayo tunaamini kuwa itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Faraja Hannington kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 673 393 575
Facebook: Faraja Hannington
Instagram: @farajahannington
YouTube: Faraja Hannington

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top