Connect with us

Video | Audio: Evelyn Wanjiru – Jehovah Elohim | Its Amazing

Video

Video | Audio: Evelyn Wanjiru – Jehovah Elohim | Its Amazing

Shalom mwana wa Mungu! zikiwa zimebaki siku chache kuifikia Pasaka leo nimekusogezea video mbili mpya kutoka kwa moja ya mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Evelyn Wanjiru kutoka jijini Nairobi Kenya, video ya kwanza inaitwa Jehovah Elohim na video ya pili inaitwa Its Amazing, video zote hizi zimeongozwa na kampuni ya Solomon K. Imange Print ikishirikisana na Bwenieve Video.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hizi nzuri ambazo ni hakika zitakwenda kufanya jambo la Baraka ndani ya moyo na nafsi yako wakati tunaikaribia siku ya Pasaka. Karibu!!

Evelyn Wanjiru – Jehovah Elohim

Download Audio

Evelyn Wanjiru – Its Amazing

Download Audio

Social Media:
Facebook: Evelyn Wanjiru
Instagram: @evelyn Wanjiru

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

More in Video

To Top