Connect with us

Video | Download Music Audio: Meshack Alphonce – Sema Nao

Video

Video | Download Music Audio: Meshack Alphonce – Sema Nao

Shalom mwana wa Mungu! leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia tumekusogezea video mpya iitwayo Sema Nao kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Meshack Alphonce kutoka jijini Dar es salaam.

Video hii imeongozwa na director mahiri wa video za muziki wa Injili anayefahamika kwa jina la Debro Gabriel na wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Cherist chini ya mikono ya prodyuza Pool Kafuku.

Kwa moyo wa unyenyekevu tunakukaribisha kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu wa sifa na kuabudu ambao ni hakika utakuinua na kukubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Meshack Alphonce kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 676 556 898 au +255 676 556 898
Facebook: Meshack Alphonce
Instagram: @meshackalphonce

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

More in Video

To Top