Connect with us

Video: Dar Mjomba – Pesa

Dar Mjomba - Pesa

Muziki

Video: Dar Mjomba – Pesa

Dar Mjomba - Pesa

Kutoka nchini Kenya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea video ya wimbo mpya uitwao Pesa kutoka kwa mwimbaji Dar Mjomba.

Video hii imeongozwa na director Dantey, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Jacky B kutoka Genius Records.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Dar Mjomba
Instagram: @darmjomba

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top