AudioVideo

Video | Audio: Danny Gift Feat. Guardian Angel – Yesu Ni Wangu

Mwimbaji anayeendelea kufanya vizuri katika huduma ya muziki wa Injili nchini Kenya anayejulikana kwa jina la Danny Gift kwa mara nyingine ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Yesu Ni Wangu akiwa amemshirikisha mwimbaji maarufu Guardian Angel.

Video hii imeongozwa na director Ricky Bekko kutoka Big Dreams Studios, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Simba Sound Production chini ya mikono ya prodyuza Vicky Pondis.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutamaza video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Ameen!

Download Now

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Danny Gift kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 702 903 810
Facebook: Danny Gift
Instagram: @dannygiftke
Twittter: @dannygiftke
Youtube: Danny Gift

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Silvia Felix - Asante

Next post

Habari Picha za Charis Conference Arusha Tarehe 13-14 Oktoba 2018.