Connect with us

Video: Chioma Okereke – Write It Down

Chioma Okereke - Write It Down

Muziki

Video: Chioma Okereke – Write It Down

Chioma Okereke - Write It Down

Chioma Okereke ni moja kati ya waimbaji wanaoendelea kufanya vizuri nchini Nigeria na kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia video ya wimbo wake mpya wa kuabudu unaokwenda kwa jina la Write It Down.

“I sing this song to inspire every dreamer to write down their dreams and vision, run with it and trusting God to bring it to pass.” – Chioma Okereke

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utbarikiwa, Amen.

Social Media
Facebook: Chiomasmusic
Instagram: @chioma_okereke1
Twittter: @chioma_okereke1
Youtube: Chioma Okereke

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top