Habari

VIDEO: BARNABA CLASSIC KUHAMIA KWENYE MUZIKI WA INJILI?

Barnaba Boy kutoka kwenye muziki wa Bongo Flava ameeleza wazi niayake ya kufanya muziki wa Gospel kwa mwaka huu. Barnaba amesema yeye anampenda Mungu ndio mana akialikwa kwenye event za Gospel hufika.Pia amezungumzia ujio wa nyimbo zake nne anazo tarajia kuzifanya mwaka huu kama sehemu ya kumrudishia Mungu utukufu kwa mafanikio aliyo pata.

Barnaba aliyasema haya alipokua amealikwa kwenye uzinduzi wa DVD ya Angel Benard ulio fanyika Ubungo Plaza.Chukua time yako kumtazama kwenye video hapo chini
Sorce:Unclejimmy.Com

Advertisements
Previous post

XCLUSIVE:JINSI YA KUJITIBU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME by MEN AT WORK.

Next post

AUDIO: GODLUCK GOZEBERT: MSANII WA GOSPO ANAYETIKISA KWENYE MAANDISHI YA BONGO FLEVA.