Connect with us

Video | Audio: Baisa Mhela – Just

Audio

Video | Audio: Baisa Mhela – Just

Mwimbaji wa nyimbo za Injili katoka jijini Dar es salaam maarufu kama Baisa Mhela ameachia video yake mpya ya wimbo uitwao Just.

Video hii imeongozwa na director Ace Black kutoka studio za Lupsaso Records, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Pure Records chini ya mikono ya prodyuza Dizi Mchizi.

“Wimbo huu unaelezea njia tunazopaswa kuzifanya baada ya kuokoka ambazo ni Kutenda mambo makuu yote tuliyoagizwa, Kuhubiri, Kuokoa, Kutoa mapepo na mengineyo kwa mamlaka ya Bwana wetu Yesu Kristo, Nataka nikukumbushe tu kuwa leo ni siku njema na nimejua ya kwamba kuokoka ni jambo moja na kwenda mbinguni ni jambo lingine usibweteke kukaa tu kusubiri ujio wa YESU tunapaswa kuifanya kazi yake mpaka mwisho” – Alisema Baisa.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Baisa Mhela kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 652 155 399
Facebook: Baisa Mhela
Instagram: @baisamhela
Twittter: @baisamhela
Youtube: Baisa Mhela

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top