Connect with us

Video: Amani – Upendo

Amani - Upendo

Muziki

Video: Amani – Upendo

Amani - Upendo

Kutoka jijini Nairobi Kenya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea video mpya ya wimbo uitwao Upendo kutoka kwa Amani akiwa moja kati ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini humo.

Video hii imeongozwa na director Sammy D kutoka studio za Trued Pictures, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Bwenieve.

“Upendo (love) is a song dedicated to Jesus, the one who loves me unconditionally. His love is amazing. I searched for a love like this but never felt complete until the day I accepted him as Lord of my life and let him love me. He loved me at my worst and still loves me till this day. As you listen to the song may the love of Jesus envelop your life and fill your life. God Bless you.” –  Amani

Ni hakika kuwa wimbo huu utakubariki na kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema, Amen.

Social Media:
Facebook: Amani Musician
Instagram: @amanigospel
Twitter: @amanimusician
YouTube: Amani Gospel

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top