Connect with us

Video 100 Bora za Muziki wa Injili Zilizopendwa zaidi 2017

Muziki

Video 100 Bora za Muziki wa Injili Zilizopendwa zaidi 2017

Shalom mwana wa Mungu ! leo kwa mara nyingine tena nimekuwekea video 100 bora za muziki wa Injili zilizofanya vizuri katika kiwanda cha muziki wa Injili Afrika mashariki kupitia tovuti ya gospomedia.com mwaka 2017.

Ubora wa picha za video, madhui na ubunifu uliotumika katika video hizi katika kufikisha ujumbe wa neno la Mungu ndivyo vitu vilivyofanya video hizi kuwa katika nafasi za juu kabisa katika chati hii kubwa kwa mwaka 2017

Mbali na vigezo hivyo video hizi pia zimetumika kuwa chombo pekee katika kugusa, kubariki nafsi na mioyo ya watu wengi ambao wamekuwa wakizitazama video hizi mara kwa mara kupitia channel zao za YouTube na kwa hakika wamekuwa baraka katika kusifu na kutangaza neno la Mungu ndani na nje ya mipaka ya Afrika Mashariki.

Na hii ni orodha rasmi ya video 100 bora za muziki wa Injili ambazo zimefanya vizuri katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla kupitia tovuti ya gospomedia.com na mtandao wa YouTube kwa mwaka 2017.

1. Angel Bernad – Siteketei

2. Mercy Masika – Shule Yako (Nifunze)

3. Goodluck Gozbert – Shukurani

4. Mercy Masika, Emmy Kosgei & Evelyn Wanjiru – Subiri(Wait)

5. Mr Seed & Bahati – Kumbe Kumbe

6. Ringtone Feat Gloria Muliro – Wacha Iwe

7. Janet Otieno-Bisha

8. Joel Lwaga – Sitabaki Nilivyo

9. Gloria Muliro – Narudisha

10. Florence Andenyi Feat. Martha Mwaipaja – Funguo

11. Christina Shusho – Yote Alimaliza

12. Neema Mudosa Feat Goodluck Gozbert-Washangaze

13. Kelele Takatifu – Aina Noma

14. Bahati – Lala Amka

15. Christina Shusho – Roho

16. Shadrack Robert Feat Angel Benard-Mungu Nilinde

17. Eunice Njeri – Tambarare

18. Bony Mwaitege – Amezaliwa

19. Guardian Angel – Nadeka

20. Pitson – Nisaidie

21. Janet Otieno – Shuka

22. Evelyn Wanjiru & Tembalami – Sawa (Alright)

23. Mireille Basirwa – We Ndio Mungu

24. Mr.Vee The Spice – All Of A Sudden

25. Emmanuel Mgogo – Umekusudiwa na Mungu

26. Mr.Seed Feat Size 8 – Simba wa Yudah

27. Paul Clement – Namba Moja

28. Miriam Lukindo Mauki – Hakuna wa Kubadili

29. Joseph Joel – Hata Hilo Litapita

30. J Sisters – Nipokee

31. Jessica Honore – Ni Yesu

32. Size 8 Reborn – I Can`t Imagine

33. Daddy Owen – Tazama

34. Weezdom Feat. Janet Otieno – Amka Ucheze

35. Annoint Essau Amani – Kuna Nini Afrika

36. Mireille Basirwa – Mungu Mkuu

37. Eunice Njeri – Nakuenzi

38. Shadrack Robert – Usiyelala

39. Guardian Angel – Kesho Yako

40. Paul Clement – Wimbo

41. Jessica Honore Bm – Usifiwe Jehova

42. Kambua – Mwaminifu

43. Joyce Omondi – Lihimidi jina lake

44. Kalengo – Kuna Namna

45. Ikupa Mwambenja-Uzuri Wako

46. Ruth Matete – Eloi Eloi

47. Alice Kimanzi – Asifiwe Leo

48. Mercy Masika – Upendo

49. Walter Chilambo – Siri

50. Jessica Bm – Furaha Yangu

51. Emma – Nachotaka

52. Betty Barongo Feat Walter Chilambo – Nijenge

53. Mess Chengula Feat Emmanuel Mgogo – Usilie

54. Walter Chilambo – Kuna Jambo

55. Judia Amisi – Ni Neema

56. Mercy Victor – Karibu Nawe

57. Neema Mudosa – Hawawezi

58. Prisca Sanga – Uweponi Mwako

59. Godwill Babette – Egemeo (Moyo Wangu)

60. Henry Sanga Feat Christina Shusho – Nipeni Muda

61. Evalyne Denis – Nakutamani

62. Beda Andrew – Nitakuwa na wewe

63. Mathias Walichupa – Hekima Yako

64. PeaceKing David Feat Christina Shusho-Chibuikem

65. Lillian Mc Jairo Feat Sylvia Akoth – Baraka

66. Emily Nakhungu – Umetenda

67. Amani Kiwale Feat Naomi Kaduma-Namfurahia Mungu

68. Edwin Mrope – Piga Kelele

69. Kristin – Njia

70. Angel Magoti – Fuata Njia

71. Ritha Komba – Kivulini

72. Mess Jacob – Mwacheni Mungu

73. Kihayile Group – Mtenda Miujiza

74. Eddah Mwampagama Feat Walter Chilambo – Unajuaga

75. Bomby Johnson – Hakuna Jambo

76. Neema K – Wewe ni Mungu

77. Rehema Lupilya-Ni wewe

78. Christina Seme – Bado Hujachelewa

79. Tukuswiga IM – Sifa za Vilindi

80. Fabrice J. Prince – Amani ya Moyo

81. Ritha Komba – Nitashinda

82. Giveness Ngao-Nimeutoa Moyo

83. Giveness Peter Mdoe – Mpaji Mungu

84. Gifted – Ni Mungu

85. David Cosmas – Nioneshe Njia

86. Alphee Niyo – Songa Mbele

87. Dona Feat SirMbezi – Uthamani

88. Tukuswiga IM – Usiniache

89. Bahati Simwiche – Jina La Yesu Kwetu Dawa

90. Boaz Charles – Ndoa Ibarikiwe

91. Sakina Naftali – Yatakwisha

92. Sebastian Silas – Moyo Wangu

93. Agness Nkugwe – Acha Nikuimbie

94. Imma Kuleba – Nauwasa

95. Vaileth Mwaisumo – Umebaki Mwenyewe

96. Miriam Jackson Feat. Joshua Mlelwa – Nisaidie

97. Imani Zacharia – U Sababu

98. Elvis Kiwanga – The Word(Neno)

99. Bertha kapufi – Maombi

100. Jimmy Gospian – Nimekuona

Uongozi na timu nzima ya nyimbo za muziki wa Injili ya gospomedia tunasema Asante kwa waimbaji wote walitumia tovuti hii katika kutangaza video zao ambazo zimetumika kama chombo ambacho kimegusa na kubadilsisha nafsi na mioyo ya watu wengi zaidi duniani kote ambao kwa namna moja ama nyingine tunaamini Bwana wetu Yesu Kristo atakuwa ameweka jambo jipya katika maisha yao litakalowafanya kumsifu na kumshukuru siku zote za maisha yao.

Kwa utuufu wa Mungu bado tunaendelea kuamini kuwa neno la Mungu litaendelea kutangazwa kupitia waimbaji hawa ambao kwa hakika wamepewa zawadi ya pekee katika kuutumikia ufalme wa Mungu. Ameen!

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

Jiunge Nasi

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea updates za kiinjili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 16,082 other subscribers

To Top