Audio

Audio: Valentino Mhongole – Vipaji Vingi

Kutoka mkoani Iringa leo kwa mara nyingine tena tumekuletea wimbo mpya uitwao Vipaji Vingi kutoka kwa mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili nchini Tanzania anaefahamika kwa jina la Valentino Mhongole, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za KMP Records chini ya mikono ya prodyuza Kitoy.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo tukiamini kuwa utabarikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Valentino Mhongole kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 755 978 976
Facebook: Valentino Mhongole
Instagram: @valentinomichael

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikuwa naimba Gospel,Hii kazi Sio Rahisi,Hatufanyi Bure - Milton Mugisha

Next post

Audio: Gelax - Mwema