Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Vaileth Daniel – Cha Kutumaini Sina

Audio

Audio: Vaileth Daniel – Cha Kutumaini Sina

Vaileth Daniel - Cha Kutumaini Sina

Kutoka jijini Arusha kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 leo tunamtambulisha kwako mwimbaji anayefahamika kwa jina la Vaileth Daniel na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Cha Kutumaini Sina.

Cha Kutumaini Sina ni wimbo unaobeba jina la albam yake ya kwanza iliyo katika mfumo wa DVD ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo Saba zilizojaa jumbe zenye mguso na upako wa pekee uliojazwa Roho Mtakatifu.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao tunaamini kuwa utakuwa ni wenye baraka kwako, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Vaileth Daniel kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 767 212 129 au  +255 620 787 895
Facebook: Vaileth Daniel
Instagram: @vailethdaniel
Youtube: Vaileth Daniel

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top