USCF Mlimani Wanakuletea Exclusive Praise & Worship Season 4 Ndani ya CCC Upanga, Januari 13. Usikose! - Gospo Media
Connect with us

USCF Mlimani Wanakuletea Exclusive Praise & Worship Season 4 Ndani ya CCC Upanga, Januari 13. Usikose!

Uncategorized

USCF Mlimani Wanakuletea Exclusive Praise & Worship Season 4 Ndani ya CCC Upanga, Januari 13. Usikose!

Praise & Worship Ministry ya USCF tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wanakualika katika ibada ya kusifu na kuabudu ya Exlcusive Praise & Worship itayofanyika usiku wa ijumaa ya tarehe 13 Januari kuanzia saa tatu usiku mpaka alfajiri.

Ibada hiyo itakayofanyika ndani ya kanisa la CCC Upanga itapambwa na wahudumu mbalimbali kama vile Bomby Johnson, Rogate Kalengo, Angel Benard, Gwamaka Mwakalinga, Dr.Ipyana kibona, Pastor Safari, Pastor Glory Itozya na wengine Wengi.

Kumbuka ni ndani ya CCC Upanga, saa tatu usiku mpaka alfajiri. Hakuna Kiingilio.

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Continue Reading
You may also like...

More in Uncategorized

To Top