Mafundisho

UMUHIMU WA KUSIFU NA KUABUDU SOMO KUTOKA KWA MWALIMU STELLA J. MHAGAMA

Shalom wapendwa, GospoMedia leo inakukaribisha kutazama somo la Umuhimu wa kusifu na kuabudu kutoka kwa mwalimu Stella J. Mhagama hakika utajifunza mambo mengi zaidi ya kiroho kupitia somo hili la Umuhimu wa kusifu na kuabudu katika maisha yetu ya kila siku kama wakristo. kwa swali, maoni na huduma ya kiroho wasiliana na mwalimu Stella J. Mhagama kupitia Facebook: Stella Jonathan Mhagama au kupitia WhatsApp: +12055771477 Barikiwa sana!!

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA

Advertisements
Previous post

PASTOR NICK SHABOKA ATOA WARAKA MZITO KWA WATUMISHI WA MUNGU,USOME HAPA.

Sylivester Gwamanywa
Next post

ALICHOANDIKA ASKOFU GAMANYWA KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA.