UMUHIMU WA KUSIFU NA KUABUDU SEHEMU YA KWANZA SOMO KUTOKA KWA MWALIMU STELLA J. MHAGAMA - Gospo Media
Connect with us

UMUHIMU WA KUSIFU NA KUABUDU SEHEMU YA KWANZA SOMO KUTOKA KWA MWALIMU STELLA J. MHAGAMA

Mafundisho

UMUHIMU WA KUSIFU NA KUABUDU SEHEMU YA KWANZA SOMO KUTOKA KWA MWALIMU STELLA J. MHAGAMA

Shalom wapendwa, GospoMedia leo inakukaribisha kutazama somo la pili la Umuhimu wa kusifu na kuabudu kutoka kwa mwalimu Stella J. Mhagama naamini utajifunza na kubarikiwa mambo mengi zaidi ya kiroho kupitia somo hili la Umuhimu wa kusifu na kuabudu sehemu ya kwanza. kwa swali, maoni na huduma ya kiroho wasiliana na mwalimu Stella J. Mhagama kupitia Facebook: Stella Jonathan Mhagama au kupitia WhatsApp: +12055771477 Barikiwa sana!!

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA

More in Mafundisho

To Top